Nilitaka nikuongezee dislike nyingine basi tu πππ
Kwani ndoa ni lazima ufungie kanisani? Kuna za kiserikali. Kuna za kimila....
Hakikisha watoto wako wanalelewa na wazazi wote wawili. Nina miaka 77. Najua ninachokisema!
Vinginevyo huko mbele ni majuto. Kama hutaki kuoa basi nakushauri usizae pia!