Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Wanaija wako hivyo. Siyo katika muziki tu bali ni katika kila kitu. Wako very aggressive.Hapa sipingi mkuuu ila ni very exceptional hawa watu yaani wao wanachoangalia ni fursa tu sijui kwa vile ncgi inawasomi wengi jobless hivyo watu wanajiongeza sana asee
Kweli asee kuna jambo limo nyuma ya pazia sema wakulungwa watailaumu CCM tu π π π ila nakataa aseeWanaija wako hivyo. Siyo katika muziki tu bali ni katika kila kitu. Actually ni kama vijana wa nchi zingine zote isipokuwa sisi. Hata Wakenya na Waganda tu hapa huwezi kuwalinganisha na sisi.
Sijui ni Ujamaa wa Nyerere ulitufanya tusiwe aggressive? Sijui ni shida ya Kiingereza inayosababishwa na sera yetu mbovu ya lugha. Kuna tatizo mahali!
wanaume tumeumbwa matesoooo.....
Usisahau na utapeli. Wanajulikana duniani kote. Na kumtapeli mtu inabidi ujiamini hasa....Ukizubaa Mnaija anakupiga hivi hivi unaona!Kweli asee kuna jambo limo nyuma ya pazia sema wakulungwa watailaumu CCM tu π π π ila nakataa asee
vijana wapo sharp sana ma forex, kilimo, mziki, uigizaji,biashara n. K
Duuh japokuwa siasa zao haziwapi favourπ€π€π€ how comes
πππ
Tattoo nazo kuchora ni hela nayo woiiii