Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,488
- 203,177
Hamna kitu kizuri hata kimoja hapo.pombe, bangi, viepe
Hamna kitu kizuri hata kimoja hapo.pombe, bangi, viepe
jamani wewe kila mahali upo 😂 ungekua shangazi yangu kweli ungenipiga sana😂Dogo unakunywa pombe na hujamaliza shule?
Matumizi mabaya ya pombe hayo
athari ndo mbaya ila ladha ni nzuri😅Hamna kitu kizuri hata kimoja hapo.
Hamna kitu kizuri paleathari ndo mbaya ila ladha ni nzuri😅
hata kiepe?? 😂wadada mnavokishambulia....Hamna kitu kizuri pale
Wee ningekua nakucharaza sana🤣🤣jamani wewe kila mahali upo 😂 ungekua shangazi yangu kweli ungenipiga sana😂
🤣🤣 Naona unataka kua msanii
Mie mmama. Wamama chips hatutumiihata kiepe?? 😂wadada mnavokishambulia....
Aisee..
unaeza ukaishia jela 😂
😂😂😂 unalolisaka utalipataNimemuita Daktariiii😂