Fun always in Afrika.... Tembo mmoja aliingia katika kijiji kimoja huko DRC na wanakijiji wakakimbia kisha akaenda kunywa lita zote 200 za pombe ya mahindi ambayo ilikusudiwa kuuzwa. Sasa amelewa na hana nguvu.......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.