Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Edward Zwick’s ‘Blood Diamond’ (2006)
FB_IMG_1682789888863.jpg
 
Mch. Ezekiel Odero ambaye anatuhumiwa kuua umati waumini wake nchini Kenya, alikuwa ni mvuvi na hakuwahi kuhudhuria Chuo chochote cha Theologia wala Chuo au Shule ya Biblia. Alikuwa akiuza maji ya upako yanayosadikiwa kutibu magonjwa ikiwemo HIV Kwa Bei ya shilingi 200 za Kenya sawa na shilingi 4000 za Tanzania kwa chupa.

Kanisa lake linakadiriwa kubeba watu 40,000 na mwezi Desemba, mke wa Makamu wa Rais wa Kenya alishiriki Ibada Kanisani kwake na siku hiyo, mahudhurio yalikuwa watu 60,000. Taarifa zinasema anajenga mtambo wa kisasa wa telepad, hotel na shule ya kimataifa. Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

Pastor Ezekiel Odero: Inside life of fisherman turned preacher accused of mass killing Pastor Ezekiel Odero: Inside life of fisherman turned preacher accused of mass killing
FB_IMG_1682825442070.jpg
 
Back
Top Bottom