Pale unaita mod wakushike 😂😂😂
Huyu ni wewe?
😂😂 mie na points zanguHuyu ni wewe?
Haaaaa ngoja niangalie zangu, am jilasi 🤣🤣😂😂 mie na points zangu
😂😂 ukimaliza urudi hapaHaaaaa ngoja niangalie zangu, am jilasi 🤣🤣
Nilikua sijui kama nina tuzo points nyingi hivi af nahangaika kuweka vocha.😂😂 ukimaliza urudi hapa
😂😂 hapo unapata GB1 na chenji tuzo zinabakiNilikua sijui kama nina tuzo nyingi hivi af nahangaika kuweka vocha.
Nakushukuru sana😅😅
View attachment 2602566
Hili bando likiisha nitajiunga kakwel😂😂 hapo unapata GB1 na chenji tuzo zinabaki
Hujakosea Mkinga. Tumebaki wachache tusioshobokea michepuko...Hao wa tatu ni baba yangu, baby wangu na Shimba ya Buyenze. Shikamoo
Hamjawahi kueleweka mnachokitaka!