Ile ikija hii natoa ππNikichimbua makabrasha yangu hilo faili naweza kulipata ila kwanza ukubali kuiondoa hii matipo π
πππnikaona niilete kama utaipendaNdio mnaanza kunichangia avatars π₯°π
Tukufanyeje utupe location π€£
Twende na hii wakati nikifungua makabrasha yangu πππMbona kamenifanania ππ Lenie
Na vitu unavyoandikaga haviendani na watoto, hapana nimekataa
Limepita hiliπTwende na hii wakati nikifungua makabrasha yangu πππ
π€£π€£ vitu nachangia uwa ni under 15 lakiniNa vitu unavyoandikaga haviendani na watoto, hapana nimekataa
Thubutuuuuuuπ€£π€£π€£ vitu nachangia uwa ni under 15 lakini
Tunatumia wakati tukingojea makabati yafunguliwe na Shimba ya Buyenze