carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karibu mjomba Ake[emoji2957]Roho mbaya tuu
Aziz Ki katika ubora wake
Siku hizi nimekuta mkubwa[emoji23],Kumbe ulikuwa umepotea kisa mfungo. Uendelee na tabia hiyo hiyo
[emoji179][emoji179][emoji120]Jazak-Allahkheir
Babu,Eid Mubarak[emoji3059]
Eid Mubarak mjukuu.Babu,Eid Mubarak[emoji3059]
Amen[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Eid Mubarak mjukuu.
Mungu Azidi kukubariki....
Kwako na wa kwako...
Amina [emoji1545]
Alafu mchoyo weye ata kusema mzabzab njoo ule pilau hakuna. Hufai kabisaSiku hizi nimekuta mkubwa[emoji23],
Nipo Kwa babu huku
Mwee ungesema mapema ningekutumia hela ya abaya🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karibu mjomba Ake[emoji2957]
Mie sio mchoyo kwenye msosi[emoji23],. Karibu banaMwee ungesema mapema ningekutumia hela ya abaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Soul tiesAngalia Kwa Umakini ni nani unakutana naye kimwili??, Kila unayekutana naye kimwili kuna sehemu yake inabaki kwako, Ndiyo maana unaweza ukakuta watu wengine wabaya sana,wakatili,wengine ni kama mashetani kabisa , Hii ni kwasababu kuna roho wachafu wengi ndani yao.
View attachment 2595452