Maisha ya Mwafrika kamwe hayaishiwi hekaheka na vitisho. Sipati picha roho wachafu aliokuwa nao Mfalme SulemaniAngalia Kwa Umakini ni nani unakutana naye kimwili??, Kila unayekutana naye kimwili kuna sehemu yake inabaki kwako, Ndiyo maana unaweza ukakuta watu wengine wabaya sana,wakatili,wengine ni kama mashetani kabisa , Hii ni kwasababu kuna roho wachafu wengi ndani yao.
View attachment 2595452

















