Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Big Mama
SDY...
Tumblr_l_537706158408836.gif
 
Urosto ndio nini? Naamini ulimaanisha ALOSTO 🙄. Any way hiyo sio alosto bali ni mafundisho ambayo sokwe huyo amefundishwa kuwashika na kuwabusu wanawake katika mtindo huo ili kuongeza kivutio katika Zoo hiyo kwa watalii wa kike.
Penda kutembelea vivutio mbalimbali vilivyo nchini mwako ili uweze kujifunza tabia mbalimbali halisi na za kufundishwa za wanyama mbalimbali.
 
Back
Top Bottom