Vituko mitandaoni. Tupia chako



Sasa atokee kidume amuoe mama yake Hakimi, ampelekee moto....
Kama mali za Hatimi zitaendelea kubaki salama basi aendelee kuwekeza kwa mama.

NB: Hata mama mzazi nae ni jinsia ya kike kama mkeo....
Kuna namna/mahala anakazwa na anaachia siri zote..... (ashakum si matusi), tafakuri ya bi Kasinde.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanaume wanakesha kuwatukana wanawake hasa masingle mama hasa humu Jf lakini , wanaume hao hao wameshangilia namna hakim alivyofanya sijaona wala hata kusikia hata mmoja akisema mali zake atamwandikisha baba yake . Hii imekaaje hawaamini Baba zao πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Kuna msemo wanasema, wanawake kwa wanawake hatupendani, tunaoneana wivu, chuki, tunarudishana nyuma kimaendeleo n.k.

Ila..... wanaume kwa wanaume ndo eanafanyiana ukatili mbaya sana.....
Wa kuharibiana kinyeo...🀨🀨

Halafu wanasababisha sisi ke tunazidi kugombea me wachache wanaozidi kupungua kila siku...😏.

Wanaamini wakiwekeza kwa mshua, akipata K ikamzungushia uno feni atagawa mali zake kumbe hata mama akipelekewa moto anarithisha mali za mwanae mchana kweupeee....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…