Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Kama umeamua kuukimbia uzinzi hata uone pisi kali ikioga kama Mfalme Daudi alivyoona wala hutishiki. Kama bado unatingishwa na picha au pisi za huko barabarani basi bado una safari ndefu sana![emoji16][emoji16][emoji16]Uzinzi najaribu kuukimbia naona mapicha picha ya ajabu hapo
App yao nishaachana nayo.
😁😁😁😁😁😁 Duuh mbinguni ntafika kweli asee safari ni ndefu sana 🥲😋😋😢😥😥Kama umeamua kuukimbia uzinzi hata uone pisi kali ikioga kama Mfalme Daudi alivyoona wala hutishiki. Kama bado unatingishwa na picha au pisi za huko barabarani basi bado una safari ndefu sana![emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2586060