Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Uzinzi najaribu kuukimbia naona mapicha picha ya ajabu hapo
Kama umeamua kuukimbia uzinzi hata uone pisi kali ikioga kama Mfalme Daudi alivyoona wala hutishiki. Kama bado unatingishwa na picha au pisi za huko barabarani basi bado una safari ndefu sana!
Screenshot_20230412_170634_Instagram.jpg
 
Kama umeamua kuukimbia uzinzi hata uone pisi kali ikioga kama Mfalme Daudi alivyoona wala hutishiki. Kama bado unatingishwa na picha au pisi za huko barabarani basi bado una safari ndefu sana!
View attachment 2586060
😁😁😁😁😁😁 Duuh mbinguni ntafika kweli asee safari ni ndefu sana 🥲😋😋😢😥😥
 
Back
Top Bottom