Makande kwenye sambusa [emoji848][emoji848][emoji848]Wasukuma [emoji1544][emoji1544][emoji1550][emoji3]
Angalia kwato hizo huyo ni Mchaga bro sio Mpare [emoji23]Makande kwenye sambusa [emoji848][emoji848][emoji848]
Siyo Wapare kweli?! [emoji848][emoji848][emoji848]
View attachment 2584074
Haya ngoja nikupoze na hichi kimodo usukumizie na makande yako! [emoji16]Angalia kwato hizo huyo ni Mchaga bro sio Mpare [emoji23]