TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,892
- 8,485
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kijiwe kina hama!
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kijiwe kina hama!
Hao masister wana kazi ya kufanya, baada ya kulambishwa meza ya bwana
Yeye mwenyewe aliolewa na marioo 🚮🚮🚮Matajiri wenyewe wako wapi sis?
Usiwadanganye wadogo zako watazeekea home! [emoji706]
View attachment 2582814
Kumbe faili lake mnalo eeeh!Yeye mwenyewe aliolewa na marioo [emoji706][emoji706][emoji706]
haswaaMarafiki wa kweli!
Wanapatikana wapi wa hivi mkuu
HII NI HATARI SANA
JE UNAOTA MAMBO HAYA
1.Ndoto chafu ya mapenzi
2.Ndoto chafu ya kukumbizwa
3.Ndoto chafu ya kulishwa vyakula vya KICHAWI
4.Ndoto ya Kuwa darasani au mazingira ya SHULE
5.Ndoto ya kuumwa na nyoka au nyuki
6.Ndoto ya Kuwa makorongoni au kwenye misitu
7.Kuwa chooni au dampo
HIZO NI NDOTO HATARI SANA NI WACHAWI NA MAJINI NA MAPEPO KUTOKA KWA SHETANI WANAPANDIKIZA MAROHOO KWAKO
KATIKA JINA LA YESU KRISTO LILO JUU YA MAJINA YOTE NAKUOMBEA USIKU WA LEO USIOTE NDOTO CHAFU YA MASHETANI
LEO NATOA MAANA YA NDOTO 10
(1) KUOTA UNANUNUA VITU KWENYE NDOTO
maana yake fedha kwako zinatumika vibaya ukipata hua hazikai
(2) KUOTA UNAOKOTA FEDHA
Jua utaangukia uhitaji wa fedha, utakosa hata fedha ya kujikimu
(3)KUOTA UNAENDESHA GARI THEN UNAYUMBA NAYO
Jua kitu unachokifanya, inaweza ikawa kazi, kampuni, project au biashara au huduma unaiendesha vibaya
(4) KUOTA UKO UCHI
Adui yaani shetani amepanga kukuaibisha, kuna jambo lenye fedheha litakukuta
(5) KUOTA WATU WALIOKUFA
Jua ipo roho ya umauti inafatilia maishani mwako.
(6) KUOTA UNASHINDWA KUVUKA MTO
Kuna jaribu mbele yako litakushinda, utahitaji msaada
(7) Kuota unaumwa
Omba Mungu kuna ugonjwa kweli unakunyemelea
(8) KUOTA UNAPIMA UNAGUNDULIKA UMEATHIRIKA
Tambua hiyo sio HIV bali ni laana ya ukoo ambayo iko kwenye damu
(9) KUOTA UNAONA ALAMA YA HIV AU AIDS[emoji955]
Basi Mwombe Mungu Akuepushe na magonjwa yasiyotibika
(10), KUOTA UNAPAA UKIWAKIMBIA MAADUI
Huo ni ushindi dhidi ya maadui zako, Hivyo tambua maisha yako yana maadui
LEO NAENDELEA NA MAOMBI NA MAOMBEZI, NAKUTOA TAFSIRI ZA NDOTO MBALIMBALI. ANDIKA NDOTO YAKO HAPA CHINI AU NIFUATE INBOX
LEO NOMBEA WATU 10 NATABIRIA WATU 10 NA KUTAFSIRI NDOTO 10 INUA MKONO WAKO HAPA AU NJOO INBOX Whatsupp +255715360094 AU PIGA +255624686991
Aisee..[emoji328]Serikali ya Eritrea imepitisha rasmi sheria mpya ya kuoa Wanawake watatu kwa lazima ili kukabiliana na wimbi la uhaba wa Wanaume nchini humo. Serikali ya Eritrea[emoji1096] imeahidi kutoa ruzuku ya pesa kila mwezi kwa atakaeongeza mke wa tatu. Eritrea ina Wanaume wachache huku idadi ya Wanawake ikiwa ni kubwa mara tatu ya Wanaume.
#AfricaYetu....View attachment 2582931