Mtu anaanza kukupa nauli, msosi, vinywaji, analipa na guest, bado akununulie chai asubuhi, akupe na pocket money! M'badilike sasa na nyie muone mna kila sababu ya kuchangia ukaribu wenu kama mmoja ata cover misosi na vinywaji, mwingine alipe chumba na nauli, na hapo kila mtu atakua na uchungu na mwenzie na kila mtu atakua na raha na mwenzie! Tofauti na hapo itakua ni kununua mapenzi