Wake za watu hawa ni warahisi kuwapata ila sasa siku ukikamatwa yaani basi tu. Nilishakoswa koswa na tangu siku ile niliapa mke wa mtu hata awe mzuri kuliko wale mabikra wa akhera haki ya nani na akafie mbali huko

Bora wewe ulijifunza mapema. Ila kuna watu hawasikiagi kuhusu wake za watu hadi wakifumwa ndio wanaanza kujutia.
Nimekumbuka ile video sijui tukio lilitokea wapi ila watu wanaongea lafudhi ya Pemba jamaa anapigwa na bapa la panga huku kaamriwa atoe nguo sijui walimla na yeye mana sikuona hadi mwisho