Huyu Jamaa ni mnaigeria saiz yupo chuo historia yake nikwamba mwana anaishi na bibi yake om alipewa hela akanunue vitu kwajili ya matumizi ya nyumbani wakati akiwa njiani alikutana na rafiki yake akamshawishi wakacheze kamali hiyo hela ya kununulia vitu


Kwa bahati mbaya hela ikaliwa yote kwenye kamali sasa akawa anafikiria anaweza vp kurudi nyumbani bila vitu akaanza kulia ndio hiko kilio hapo unachokiona kwenye pic



lakini kwa bahati nzr watu walimuonea huruma walimchangia hiyo hela akaweza nunua vitu na kurudi nyumbani jina lake simkumbuki vzr nikimkumbuka nitawataarifu lakini saiz yupo chuo anasoma hapo Nigeria.
Sent using
Jamii Forums mobile app