Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1679362659007.jpg
 
Nyerere nilishamsamehe makosa yote likiwemo lile la kutuhamisha kwa fujo tena wakati wa majira ya mvua mwaka 1973 eti kwenda kwenye vijiji vyake vya kiutopia lakini hili la kutounganisha Tanganyika na Rwanda atasubiri sana!
View attachment 2561392View attachment 2561396
100%[emoji3581]
Hakututendea haki kabisa, hasa kwa akina sie wataalam wa kupiga [emoji98][emoji98][emoji371][emoji371].
 
Back
Top Bottom