Vituko mitandaoni. Tupia chako

KUWA MAKINI ANAYECHAPA KADI ZAKO ZA HARUSI

Mchapishaji aliombwa aweke 1Yohana 4:18 kwenye Kadi ya Harusi, lakini alifanya kosa kwa kutojumuisha "1" kabla ya Yohana hivyo akachapisha Yohana 4:18

1Yohana 4:18 inasema "Katika pendo hamna woga, bali pendo lililo kamili hufukuza hofu zote."

Lakini Yohana 4:18 inasema "Kwa maana umekuwa na waume watano hapo awali, na huyu uliye naye sasa si mume wako."

Bado tunamsihi mume kuwa ni kosa la Printer....[emoji2230][emoji2230][emoji2230][emoji134][emoji134][emoji134]

Wahala oo [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…