Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230312-123853~2.png
 
Kama ulikua humjui vizuri Paul Makonda wacha nikufahamishe;-
Alizaliwa tar.15/02/1981 katika kijiji cha Koromije,
Kilichopo wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza,
Jina lake halisi anaitwa;- Daudi Albert Bashite,
Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije,
Huku akitumia majina ya Daudi Albert Bashite,
Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia,
Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini,
Ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition),
Mwaka 1996 alihitimu darasa la 7 Kwa bahati mbaya,
Hakuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya serikali,
Mwaka 1997 akajiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Pamba,
Mwaka 2000 akahitimu kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero),
Mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge (chenye div.3 ya points 25),
Kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi (Nyegezi Fisheries Training Institute),
Kwa masomo ya Certificate akahitimu mwaka 2002,
Mwaka hu...View attachment 2553677

IMG_20230316_165711.jpg


😂😂😂​
 
Back
Top Bottom