Kitomari xxiv
JF-Expert Member
- Sep 26, 2021
- 1,286
- 12,574
[emoji1787][emoji1787] hatimaye leo nimeona komenti yako ndefuNimeoga sana na hakuna nilichokipata... [emoji23]
Usikute kuoga ni dhambi, maana hata vitabu vya dini vinahimiza usafi lakini havitaji kuoga... [emoji23]
Inapendeza sana...[emoji1787][emoji1787] hatimaye leo nimeona komenti yako ndefu
Anhaa okok nimeelewa maana......na kirefu cha SDY kinaweza kuwa nini?