Halafu huyu hakuwa original Bruce Lee, hii Game of death wamecheza watu zaidi ya wanne tofauti role ya Bruce Lee. Movie imetoka 1978 miaka mitano baada ya kifo cha Bruce Lee na kuna baadhi ya vipande kama umeangalia sana movie za huyo jamaa utaona vilichukuliwa movie za nyuma