Hivi hawa jamaa sasahivi wako wapi?Wana Kanisa?Imani huwa zina ufala sana sa nyingineView attachment 2535989
aisee kweli wacha tutafute hela tuu. kumbe maghetoni mnakuja mkuambiwa kuna zawadi
alafu utasikia wanasema wanawanume siku hizi hawataki kuoa, would u get maaried to a man with a fake d.ick?