

Na utashangaa bado tunachelewa maana simu inaita mpaka unaizima lakini wapiSisi wa hivi,tuna uvumilivu sana kwenye kila kituView attachment 2531333



Usiombe ikukute hii unakuwa mdogo kama piriton🤣🤣🤣🤣
Hawa ndio wake sasa wanajua wameolewa kwa sababu gani ....sio wlae wapuuzi oh ndoa ni zaidi ya sex...pumbaf kabisa
Hasa wewe...sijui hela ya kupost meme unatoa wapi
Hizi ndo ndoa zinazoishi muda mrefu kwa miaka hii