Aahahahahahaaaaa Siiimbaaaaaaa......
Sasa kama hivyo ndivyo, inabidi tukate flight moja.
Muda si mrefu ntakuwa na masafa marefu angani kuelekea ardhi ya upande mwingine....
Sasa ili nijaribishe kwako, tucheck in same flight same time, ili boarding pass ziwe za same line and row.
Hapo jaribio litakamilika, halafu ukuye ulete mrejesho kama utapigika shoti kama huyo jamaa au wewe utaanza kucheza tukunyema hapohapo....
.
Kumbe na wewe ni mtundu hivyoo eeeehhhh....
.