Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383



Na wengine wanaojua ulaya wanasema bora uwe mfungwa ulaya kuliko raiya maskini Tanzania
Mwenyewe nilitaka mshinde na mlikosa kosa mabao kibao. Haikuwa siku yenu.mzee mbona unatupiga kwenye mshono tumekukosea nini kwani
![]()

Kama unataka kufungwa nenda ukafungiwe nchi za Scandinavia Mzalendo. Haki ya nani utaishi kama vile uko Masaki...mpaka na posho juu...na conjugal visits kama una demu...Na wengine wanaojua ulaya wanasema bora uwe mfungwa ulaya kuliko raiya maskini Tanzania
Mbona mnatuchanganya?
Mbona hela zinafichwa ulaya na sio kwetu?
Duh sijawahi kutamani kufungwa eti kisa nile vizuri.Kama unataka kufungwa nenda ukafungiwe nchi za Scandinavia Mzalendo. Haki ya nani utaishi kama vile uko Masaki...mpaka na posho juu...na conjugal visits kama una demu...
Hapo mchezaji anacheza ile inaitwa kufa na kuponaMwenyewe nilitaka mshinde na mlikosa kosa mabao kibao. Haikuwa siku yenu.
Ngoja leo tuwaone Utopolo nao kwenye kombe lao la loser
View attachment 2514365
Nilikuwa najibu ki-chit chat tu ulichokisema hapo juu kuhusu Ulaya.Duh sijawahi kutamani kufungwa eti kisa nile vizuri.
Uhuru wa kwenda unapopataka unaraha yake mkuu
Ndogo itafaa vile vile