[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo barabara ukizama tu unajua hapa ni wrong turn.Invyoonekana wote walikua hawajui...
Haya sasa ndio maneno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya kukesha kwenye mbususu mtusamehe tu
Akili tutatumia zangu[emoji51]
[emoji23][emoji28]
Ila kuna watu wanatabia za ajabu,hivi unaanzaje kunyooshea kidole kwamba nipe nyama ile kutoka jikoni,tena usikute ni kwenye mkusanyiko,bora iwe kwako unamwambia mkeo jikoni
Aisee,alirudi au alikufa?
Alikuwa anajipa shida ya bure,hio kazi ni ngumu sana,labda kama ilikuwa ni ibada fulani
Anaitwa nani?
Sijui jina lake.Anaitwa nani?