Vituko mitandaoni. Tupia chako

Tutenge muda wa kukaa na watoto wetu,ukaribu ni muhimu bila hivyo lazima watasema tu maana nyumbani huonekani mbaya zaidi wakifanya makosa wanaambiwa ngoja baba aje,kwahio wewe unaonekana gaidi Fulani hivi hapo home
Hii namshukuru sana faza alikuwa ananibeba kwenye maroli makubwa ya kazini kwake mizigo tunazunguka wote town maeneo anashusha mizigo sometimes akitoka kama ni Congo au Zambia akiingia tu Dsm ananambia niende kwenye gari anapeleka mzigo ofisini kwao,ilinijenga sana na kuondoa mambo ya nani kama mama japo upendo wangu kwao wote ni sawa Ila I APPRECIATE YOU FATHER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…