Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Pesa haijawahi kumuacha mtu salama. Si huko kwenu tu. Angalia Ukristu ulipo sasa hivi yote ni sababu ya pesa. Huko kwenu angalau kuna kuonyana na kukaripiana. Huku kwetu kwa Wagalatia hakuna. Kila mtu ni nabii na mtume na anapuyanga kivyake - makufuru ya kila aina. Hovyo tu!Huu ndio unafiki wa viongozi wangu wa Kiislamu. Wanajioendekerza pendekeza serikalini mwishowe wanafanya mambo hovyo.. Wako tayari kukiuka dini ili mradi wawafurahishe wenye pesa ama wenye nacho.
Mjukuu njoo ujitetee. Ni wewe huyu kweli au akaunti yako ilidukuliwa?Jamani mdogo wenu katisha[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2505438
π€£π€£π€£π€£π€£Nguo ya huyo mlimbwende iliachia kwa nyuma halafu mlimbwende hakuvaa kifunika maliwato hata wakajikuta wanapiga chabo kwa wakati mmoja?
Hahaha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimejikuta nimekenua MINJINO balaa hahaha naomba Mungu hii picha isiwe inajirudiarudia kichwani maana nitainika hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2505549
Duh! Kaenda na wake[emoji26][emoji22]Huzuni tupu yaani...
RIP [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2505543
View attachment 2505544
ππππ paka kabaki anatia hurumaHahaha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimejikuta nimekenua MINJINO balaa hahaha naomba Mungu hii picha isiwe inajirudiarudia kichwani maana nitainika hahaha
Majambazi wengine wakorofi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] paka kabaki anatia huruma
Haiwezekani kuna mtu alidukua account ya mdogo wetu. Btw mambo ya mtaa wa pili yanabaki mtaa wa pili mkuu huku ya nini?Jamani mdogo wenu katisha[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2505438