Chakula kinalanguliwa na wafanyabiashara wakubwa, kuwekwa maghalani na hatimaye kuuzwa nje ya nchi. Wakulima wala hawanufaiki kivile maana walishauza zamani sana baada tu ya kuvuna. Pigeni marufuku mahindi, mchele na maharage visiuzwe nje ya nchi.....