Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kwaheri Sabato zambi zangu ziende kwa Mzee Shimba YB
f975b6988eb0cb57877366fcd0c6a813.jpg
 
SIO DAWA ZOTE ZIPO KWENYE MADUKA YA MADAWA!🧏🧏

1 - Mazoezi ni dawa.
2 - Kufunga ni dawa.
3 - Chakula cha asili ni dawa.
4 - Kicheko ni dawa.
5 - Mboga na matunda ni dawa.
6 - Usingizi ni dawa.
7 - Mwanga wa jua ni dawa.
8 - Kuwapenda wengine ni dawa
9 - Kujipenda ni dawa.
10 - Shukrani ni dawa.
11 - Kuacha kosa ni dawa.
12 - Kutafakari ni dawa.
13 - Kusoma na kujifunza Neno la Mungu ni dawa.
14 - Kula vizuri, kwa wakati na bila ziada ni dawa.
15 - Fikra sahihi ni dawa.
16 - Kumtegemea Mungu ni dawa
17 - Marafiki wazuri ni dawa.
18 -. Kujisamehe na kusamehe wengine ni dawa.
19 - Kunywa maji mengi ni dawa.
20 Moyo wenye amani ni dawa
Kunywa dawa hizi za kutosha na ni mara chache sana utahitaji zile za maduka ya dawa.
 
Back
Top Bottom