Chengshan
JF-Expert Member
- Feb 25, 2022
- 248
- 627
Matembele,Majani ya mabo. Hizi mboga sijawahi kuwa na imani nazo. Ni kama mua tu uotao kwa maji ya bafuni.
Matembele,Majani ya mabo. Hizi mboga sijawahi kuwa na imani nazo. Ni kama mua tu uotao kwa maji ya bafuni.
Kifo kama msiba
Ni rahisi sana kuhubiri. Kutenda ndiyo tatizo sasa....
Kwani unavila vibichi kamanda? Vikipikwa yaani ni full virutubisho!Matembele,Majani ya mabo. Hizi mboga sijawahi kuwa na imani nazo. Ni kama mua tu uotao kwa maji ya bafuni.

Bila kuweka lokesheni wazi basi ungesikia ooh Wasukuma mmezidi kumbe mtu zimeshiba mbwa huko Madibira Iringa ziko deep in love![]()

ushamba wowote utaokosa evidence ya unapotokea wanapewa wasukuma kwa mujibu wa watanzania.Loooh,,Nimeng'ata yule mkaka anayekuijiaga na Crown we jilaze kwenye povu tu kama overall la fundi gereji.
Wanajitahidi sana kuuficha huu ukweli
mawardat ujumbe ukufikie popote pale ulipoPunguza maringo View attachment 2491076