Bakery imeua penzi.
Oda ilikuwa Keki na vikitimoto pembeni( vya kukaanga)
Hv navoandika hataki hata kuniskia na Hiyo walipeleka bila mm kuconfirm
#Kuachana na binti wa +++ ni rahisi Sana.
Matunzo kama yapi? Mbona binti yuko vizuri kabisa...au mpaka avae wigi la milioni, abandike mikope na mikucha, apake mkorogo awe mweupe ndio atakuwa mzuri