Ajali Kama ajali zingine.ATOLEWA NDIZI UKENI KWA OPERATION.
Mwanamke mmoja nchini Kenya ambaye amehifadhiwa jina lake, alijikuta katika wakati mgumu sana uliopelekea Afya yake kuzorota mpaka kukaribia kufa.
Ni baada ya kujiingizia ndizi ukeni ambayo ilizama moja kwa moja na kushindwa kuitoa.
Baada ya hapo, alianza kusikia maumivu makali huku ndizi ikianza kuoza taratibu .
Mwanzo aliona aibu, kwenda hospitali lakini mwishowe alikubali ndipo walipomtoa ndizi hii ambayo ilikuwa imevishwa condom.View attachment 2444888