huyu jamaa muandiko wake wa ovyo ndio unampa kiki,
sijui anafanya makusudi?
jamaa kiutani utani anakwenda kufanikiwa kimaisha kama walivyofanya wenzake mfano dk shika na mzee wa liquid.
View attachment 1274826
View attachment 1274827
[emoji23][emoji23][emoji23] alikuwa anataka aendelee kula kimasiharaMwanamke mbabe sana huyo.. You can tell from her lips.. Jamaa kaambiwa either you merry me or you go back to Afrika
Jr[emoji769]
Wakimaliza wpitie kwenye kipimo cha police kupimwa arikohori
Jr[emoji769]