[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]PICHA lilianzia hapa, yakapakwa Rangi kiustadi sana, yakavalishwa manailon kama boflo, na kila Moja tukauziwa kwa billion mbili na ushee....Sasa zidisha mara 52 utagundua kiasi tulichopigwa na UTAWALA huu.HakyaMungu Hatutanyamaza, labda mtuuwe.!![emoji23]View attachment 2439281
Daah, yani wameyatoa dampo halafu wakatuuzia!PICHA lilianzia hapa, yakapakwa Rangi kiustadi sana, yakavalishwa manailon kama boflo, na kila Moja tukauziwa kwa billion mbili na ushee....Sasa zidisha mara 52 utagundua kiasi tulichopigwa na UTAWALA huu.HakyaMungu Hatutanyamaza, labda mtuuwe.!![emoji23]View attachment 2439281
Huyo ni Lloyd Munroe akijifokoa hapoHii inaitwaje hii
View attachment 2439132
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niliishia kumuuliza vipi wee mgeni huku dodoma? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Udomo zege tabu sana
Wajumbe konyo kweli eti wanasema ana kashfa ya kukichafua chama kwa utapeli wake akiwa mwenezi wa mkoa wa Dar es salaam.
Wajumbe siyo watu eti huyu ni mbobevu wa vibenten atakichafua chama.
First born oyeeeeeeee[emoji123]Haya sasa wadada first born zamu yenu kukumbukwa hiiView attachment 2439435View attachment 2439436
When you know it...
Ni kweli[emoji23],Hapa tu ndio huwa mnafeliView attachment 2439455
Akili kubwa sana