Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nakuelewa kiongozi, kuna tatizo kenye bara letu ila it's not all gloomy, kuna jitihada tu zinafanywa, kunao tunajaribu pia..

Nimekuelewa mkuu. Inabidi tujikongoje na ikibidi tukimbie kabisa maana tumechelewa sana!

Unaonekana hapa kwa shida siku hizi kulikoni? Huko Juba wamekuongezea majukumu ama nini?

Stay blessed bro
 
Nimekuelewa mkuu. Inabidi tujikongoje na ikibidi tukimbie kabisa maana tumechelewa sana!

Unaonekana hapa kwa shida siku hizi kulikoni? Huko Juba wamekuongezea majukumu ama nini?

Stay blessed bro

Ha ha ha tuna-balance tu hata wakiongeza majukumu maana hili jukwa letu pendwa ni muhimu sana, maisha ni haya haya tu, hatuna mengine na wala sio rehersal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…