Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,227
- 40,718
Aiseee hii nchi tunachoshana sanaYaani hawa watu dah! Yamekuwa hayo tena? [emoji15][emoji15][emoji15]
Hakukosea aliyesema kwamba Bongo pengine ni channel ya comedy huko mbinguni wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2434590
Huyo Mwamba aliye simama jirani na Mti 5G Inamuwinda[emoji28]
Hebu nitoe ushamba mkuu kivipi inaweza kufanya kazi?
[emoji1787][emoji1787][emoji2]