Hapa kwenye wali maharage wacha tu niwe na kitambi kwanza hakiniumi wala hakiniwashi. Tena ngoja niende juu nikafuate maharageWali maharagwe ndio zako sufuria nzima wala peke yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiboko ni wa Njombe Mgendera uwiii! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2432150
Na mbinguni zinaenda roho c mwili. Kula vizuri tu ndugu yangu.Hapa kwenye wali maharage wacha tu niwe na kitambi kwanza hakiniumi wala hakiniwashi. Tena ngoja niende juu nikafuate maharage
Hesabu haipo sawa/haijakamilika[emoji23]
Ndio hapo...Na mbinguni zinaenda roho c mwili. Kula vizuri tu ndugu yangu.
Mbunifu wa hii nguo mtoni atakua kitengo maalum[emoji849][emoji849]
Unaweza kuta huyo mama ni mtumishi mzuri tu kanisani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui tunasemwa Wasukuma hapa? Maza kwa mipasho dah!
View attachment 2433144