Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,382



Waitwe bungeni tafadhali.Masela wa Chugga mnaupiga mwingi!
View attachment 2428673
Irudiwe Jirani...Jirani wivu sio mzuri ujue
Imetoka hiyo, ikirudi pancha jirani...Irudiwe Jirani...
Sawa Jirani likizo na sikukuu zinakuja Jirani, utakula jeuri yako...Imetoka hiyo, ikirudi pancha jirani...
Najua hauna hiyo roho mbaya jirani yangu, haufananii nayo kabisa yaani 🤗Sawa Jirani likizo na sikukuu zinakuja Jirani, utakula jeuri yako...
Ongeza makopa kopa Jirani...Najua hauna hiyo roho mbaya jirani yangu, haufananii nayo kabisa yaani 🤗
Hujanihamasisha bado jirani kukuwekea makopa...Ongeza makopa kopa Jirani...
😍😍 mama African Queen