Mnakulakula hovyo msisingizie vitu vingine. Mwanamke anabugia savannah 7 kwa nini asiwe na litumbo.Uzazi wa mpango, mtu hauendi pd unategemea nini??
Kuna mmoja jana ananiambia anahisi tumboni kabeba mzigo mzito hana amani,kasema hachomi tena sindano bora azae tu.View attachment 2430722


