Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Kila mtu anamkodolea macho😊 Gauni jipya alafu fupi...
Kila mtu anamkodolea macho😊 Gauni jipya alafu fupi...
Jirani offer ya lunch unataka kumpa nani Jirani... Embu ningate sikio pm...Very beautiful indeed jirani, adi najiskia kutoa offer ya lunch leo...
Kama mie navolimendea tako la mama wa kambo hapa home
Jirani hako ka gauni sii katakuruka mpema maana kapya alafu tayari kafupi...Kila mtu anamkodolea macho
Pm pamefungwa jirani.Jirani offer ya lunch unataka kumpa nani Jirani... Embu ningate sikio pm...



Kwani jirani bado nakua na nishazeeka, urefu wa kuongezea natoa wapi mie jiraniJirani hako ka gauni sii katakuruka mpema maana kapya alafu tayari kafupi...
Sawa Jirani, umependeza lakini na nguo yako mpya Jirani...Pm pamefungwa jirani.
Offer nampa yoyote atakayekuwa na +ve vibe siku ya leo, mmoja tu lakini atakayebahatika
Nimependeza ndio jiraniSawa Jirani, umependeza lakini na nguo yako mpya Jirani...


