TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,893
- 8,483
Kama ile ya BUI BUI kapuliziwa sumu ya rungu
ile hua sitoboi wallah-



utanikuta kila siku nina bandeji kama sio PiOPiO shingoni
Kama ile ya BUI BUI kapuliziwa sumu ya rungu
ile hua sitoboi wallah


utanikuta kila siku nina bandeji kama sio PiOPiO shingoni





Mumeshaanza tena zile dharau zenu kwa WasukumaWrong number calls tatu kwa mfululizo na wote Wasukuma dah!![]()
Hizi zote sura za kipigaji tu
ViolanceMic Testing View attachment 2426117
natembeza vibahasha kwa marefa , na weka 10B kwa Odd ya 2.0.......otea natoka 20B
Wanawake wasiojua kitu kuhusu mpira wanyongweOne man down, i repeat one man down. Alpha do you copyView attachment 2426231
😂😂😂
Muuliwe bana😂😂😂
Uonevu
Mwanamke unafatiliaje mpira, sasa utakua unamuuliza nini baby wako mkiwa mmekaa maana story zote za mpira unazijua.Muuliwe bana
Nitamuuliza kuhusu Alliens, vimondo na UFOMwanamke unafatiliaje mpira, sasa utakua unamuuliza nini baby wako mkiwa mmekaa maana story zote za mpira unazijua.
Au origin ya mpingoNitamuuliza kuhusu Alliens, vimondo na UFO
😄Au origin ya mpingo