Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Af unavyobadili avatar hivyo huwezi tulia na moja muda mrefu, hivi utaweza kutulia ndoani kweli mdudu?🤣🤣🤣🤣 iache banaaa
Mbona tu nzuri
Momo ana kazi😂
Af unavyobadili avatar hivyo huwezi tulia na moja muda mrefu, hivi utaweza kutulia ndoani kweli mdudu?🤣🤣🤣🤣 iache banaaa
Mbona tu nzuri
Af unavyobadili avatar hivyo huwezi tulia na moja muda mrefu, hivi utaweza kutulia ndoani kweli mdudu?
Momo ana kazi![]()

Asubuhi nimeulizwa na dada CAf unavyobadili avatar hivyo huwezi tulia na moja muda mrefu, hivi utaweza kutulia ndoani kweli mdudu?
Momo ana kazi😂
Na kwanini sasa nitulie? 🤣Af unavyobadili avatar hivyo huwezi tulia na moja muda mrefu, hivi utaweza kutulia ndoani kweli mdudu?
Momo ana kazi😂
🤣🤣
Yaani hiyo avatar yako niliipenda sana, uirudishe bana.
I know K very well!K stands for Katerero
Hiyo avatar hata sina sahiiYaani hiyo avatar yako niliipenda sana, uirudishe bana.
Ila kibungo hyo comment yako jamani 😂😂😂
Me hiyo yangu sijui ilipoteaga wapi
We kwenye mahusiano yako unatuliaga kwa week ngapi 🤣
Si unaanza maandalizi ya kutulia mapema, ili ukifika ndoani usione mambo mapya kibungoNa kwanini sasa nitulie? 🤣
Utu na utulivu ni ndoani tu 🤣 maana tumeagizwa ndoa na ziheshimiwe
😂😂 nilikwambia naanza lini? Yan pale nikikusikiliza sanaaaa inakuwa minus one..Si unaanza maandalizi ya kutulia mapema, ili ukifika ndoani usione mambo mapya kibungo
Em acha ukorofi 😂
Nikizidi sana week3 after hapo mwendo wa BasiWe kwenye mahusiano yako unatuliaga kwa week ngapi![]()


🤣🤣si ndio sasa, mdumu sanaNikizidi sana week3 after hapo mwendo wa Basi
Napendelea yale mahusiano ya Mwanzo mwanzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mtu hana kazi leo 😂, huna safari ya bank?😂😂 nilikwambia naanza lini? Yan pale nikikusikiliza sanaaaa inakuwa minus one..
Acha basi nimaliziee 🤣🤣😂
Hapo chapati siyo sehemu yake, peleka kwa wanywa Chai.
Sina kaziNaona mtu hana kazi leo 😂, huna safari ya bank?
Mpaka nahisi Africa Mashariki na Kati mimi ndio naongoza kuwa na Ma Dear X wengisi ndio sasa, mdumu sana
Kwani mlizaliwa wote
Ni nzuri, uingie chimbo uitafuteHiyo avatar hata sina sahii
Zamani alikuwa anaitunza Beberu mwitu
Sahii hata sijui anatumia id gani
Sasa watatu tu wakiamua kukuroga si utachizika vibaya sana 🤔🙆♀️Mpaka nahisi Africa Mashariki na Kati mimi ndio naongoza kuwa na Ma Dear X wengi
Sent using Jamii Forums mobile app