Jamaa wana accent nzito sana. Utasikia Sotofrica kumbe ndo South Africa hiyo. Uzuri wanajiamini sana na ukizubaa wanakutapeli hivi hivi unajiona na Sotofrica yao

Aya! Pikeni nyingine itakayo kick na kutrend itakayo weza kuzima ishu ya bashiru, msumbiji, treni zetu, mpuyango wa nishati kwa kutafuta wakandarasi wa bei ghali na mengineyo!