Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wanawake poleni. Hapo umejisiriba mamekapu nusu ndoo. Kichwani nako wigi linawasha linanuka...bado kope na kucha za bandia...yote kwa ajili ya kumvutia mwanaume. Kazi sana yaani!

View attachment 2420275
Unakuta mtu kajireemba ukienda kummanua unakutana na harufu hata BUDEGE za PUGU zina subiri! Ushawahi kukaa kwnye foleni ukawa unakula AC taratiiiibu alafu foleni inajichekecha, gari ya taka inakuja kukaa mbele yako
au kirikuu imebeba kuku broiler inawapeleka sokoni, au mfuso umetoka mkoa umebeba kitimoto inakuja kukaaa mbele yako, mh! Ndio mabalaa ya hao viumbe wanaojiremba kupita maelezo
 
Bila kujilemba hatutoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…