Hayo ndo mapenzi ya kweli. Wengine wanawachukulia wanyama kama mbwa kama kifaa cha kulinda lakini hawana mapenzi nao. Big up bibi jinywee gwalwa twako lakini mkumbuke mwanao wa mgongoni. 😘

Amelimbikiziwa sifa maskini mpaka atakuwa kichaa. Instant fame kills.Huyu so n Majaliwa mvuvi yule muokozi!?