makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,852
- 103,974
Nchi ya h
Nchi ya hovyo saana hii
Nchi ya hovyo saana hii
Tayari kaishaliwa mtu kalio..😂🤣😂
Sipati picha huyu jamaa akiwa anazuru UVINZA anaweza asitumie kile kichwa kingine ambacho hakinaga masikio wala mabega kama kichwa cha nyoka

Mindfuq
imageKosa gani linapelekea upate adhabu hiyo! Na mtakua mna fanya shughuli gani humo gerezani kama wakiwa wana ruhusu muendelee kuzalina kwa vizazi vitatu humo humo
Siku nyingine tumia Iphoni kupiga picha sio li Itel au bontel SAWA!Fund kakosea kupaka rangi ukutani View attachment 2416393
Ngoja nimpigie mwanasheria wangu maana alisafiri nisije nika comment kumbe bado yupo safari ikawa kasheshe!
Narudi

Daaah
Make kwanza hapo nchekeNo comment!
=
View attachment 2416416
=
View attachment 2416428
Chanzo
Code:https://twitter.com/MwananchiNews/status/1591014520017018881









