Out of topic. Hapa ni Sokoine University New hostels.Nani anaweza hii nimpe mwekunduView attachment 2408987
Kisa visit rwada basi visit tanzania kwani mmeshindwa kuwa wabunifu kutafuta slogan nyingine ni ushamba jamani
Upepo muhimu kila mtu anautaka
Wameona wagawane nusu kwa nusuUpepo muhimu kila mtu anautaka

Imenikumbusha Ifunda Tech hii kitu...

Hapo unaitwa Tomaso